HABARI / PICHA:- Dioniz Malinzi asimikwa Ukamanda wa vijana mkoa wa Kagera . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, February 16, 2015

HABARI / PICHA:- Dioniz Malinzi asimikwa Ukamanda wa vijana mkoa wa Kagera .

  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye kushoto akimkabidhi Ngao na mkuki   Kamanda wa vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi wakati wa kumsimika hapo jana Februari 15,2015 kwenye uwanja wa Uhuru Platform maarufu kama uwanja wa Mayunga Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera.

  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akimkabidhi mkuki   Kamanda wa vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi wakati wa kumsimika kwenye uwanja wa Uhuru Platform maarufu kama uwanja wa Mayunga.
Wananchi waliofurika kwenye uwanja wa Uhuru Platform ambapo Dioniz Malinzi alisimikwa ukamanda wa vijana mkoa wa Kagera
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa Bukoba mjini kwenye uwanja wa Uhuru Platform kwenye sherehe za usimikwaji wa Kamanda wa Vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi jana Februari 15,2015.
Saida Karoli akitumbuiza wakati wa sherehe hizo za usimikwaji wa kamanda wa vijana Dioniz Malinzi kwenye uwanja wa Uhuru,Mayunga Bukoba mjini.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa Nape Nnauye akivishwa skafu mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Uhuru Platform tayari kwa shughuli ya kumsimika Kamanda wa Vijana wa CCM mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi.
UNGANA  NASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad