LIGI KUU VODACOM 2014/2015:- Ratiba ya Mechi za zijazo pamoja na Simba SC kushika Nafasi ya Nne katika Msimamo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, February 16, 2015

LIGI KUU VODACOM 2014/2015:- Ratiba ya Mechi za zijazo pamoja na Simba SC kushika Nafasi ya Nne katika Msimamo.

Wekundu wa Msimbazi Simba SC imejikusanyia pointi tatu muhimu baada ya kuifunga timu ya soka ya Polisi Morogoro kwa mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyika jana Februari 15,2015,jumapili kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.

 Ushindi huo umeifanya Simba SC kufikisha pointi 20 na kuchupa kutoka nafasi ya tisa hadi nafasi ya nne katika msimamo wa ligi hiyo ikiwa nyuma ya Azam FC na Yanga SC zenye pointi 25 kila moja na Kagera Sugar yenye pointi 21.

Polisi Moro imebaki na pointi zake 19 sawa na Mtibwa Sugar, JKT Ruvu, Ruvu Shooting na Coastal Union.

Mjini Shinyanga, kwenye Uwanja wa Kambarage, Kagera Sugar iliishinda JKT Ruvu kwa bao 1-0 lililofungwa na Atupele Green katika dakika ya 31.

 Kagera Sugar imefikisha pointi 21 na kuchupa kutoka nafasi ya nane hadi ya tatu.

Ligi kuu Tanzania bara itaendelea Alhamisi huko Sokoine Mbeya wakati Prisons itakapoikaribisha Yanga SC.

RATIBA VPL 2014/2015.

Alhamisi Februari 19,2015.

Tanzania Prisons v Yanga

Jumamosi Februari 21,2015
Mbeya City v Yanga

Kagera Sugar v JKT Ruvu

Ndanda v Coastal Union

Mgambo Shooting v Mtibwa Sugar

Jumapili Februari 22,2015.

Stand United v Simba

Azam FC v Tanzania Prisons 

Jumatano Februari 25,2015.

Mbeya City v Ruvu Shooting
MSIMAMO.
NA
TIMU
P
W
D
L
F
 A
 
GD
PTS
1
Azam FC
13
7
4
2
22
12
 
10
25
2
Yanga
13
7
4
2
15
7
 
8
25
3
Kagera Sugar
15
5
6
4
12
11
 
1
21
4
Simba
14
4
8
2
15
11
 
4
20
5
Mtibwa Sugar
14
4
7
3
15
14
 
1
19
6
Coastal Union
15
4
7
4
10
9
 
1
19
7
JKT Ruvu
15
5
4
6
14
15
 
-1
19
8
Polisi Moro
15
4
7
4
12
13
 
-1
19
9
Ruvu Shooting
14
5
4
5
10
11
 
-1
19
10
Mbeya City
14
4
5
5
9
11
 
-2
17
11
Ndanda FC
15
4
4
7
13
18
 
-5
16
12
Stand United
15
3
6
6
13
18
 
-5
15
13
Mgambo JKT
13
4
2
7
7
51
 
-8
14
14
Tanzania Prisons
13
1
8
4
10
12
 
-2
11

UNGANA  NASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad