AJALI:-Tazama Picha za Gari dogo lilivyoharibika baada ya Dereva wake kuligongesha katika Kingo za Daraja la kuingia Radio Kwizera leo Februari 16,2015 - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, February 16, 2015

AJALI:-Tazama Picha za Gari dogo lilivyoharibika baada ya Dereva wake kuligongesha katika Kingo za Daraja la kuingia Radio Kwizera leo Februari 16,2015

Pichani ni gari dogo likiwa limeharibika ubavuni baada ya kugongeshwa katika kingo za Daraja la kuingia Radio Kiwzera.

 Ajali hii imetokea usiku wa kuamkia leo Februari 16,2015 katika eneo la Lango kuu la kuingilia geti la Radio Kwizera mjini Ngara na kwa mujibu wa Mashuhuda wamesema kuwa chanzo cha ajali hiyo huenda kimesababishwa na Dereva kuendesha huku akiwa amelewa na kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha zaidi ya kujeruhiwa.

UNGANA  NASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad