Mshambuliaji
wa Simba SC, Elias Maguri akimtoka beki wa Mafunzo katika mchezo wa Kundi
C Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 1-0.
Mashindano
ya Mapinduzi Cup 2015 huko Visiwani Zanzibar yameendelea Januari 03,2014 kwa Mechi mbili za
Kundi C ambapo Simba SC iliifunga Mafunzo na Mtibwa Sugar kutoka Sare na JKU.
Wakiwa chini
ya Kocha wao mpya kutoka Serbia Goran Kopunovic, akiwaongoza Simba SC kwa mara ya
kwanza, waliifunga Mafunzo Bao 1-0 kwa Bao la Dakika ya 54 la Said Ndemla
aliefumua Shuti la mbali.
Kwenye Mechi
ya utangulizi hii , Mtibwa Sugar walitoka 1-1 na JKU.
Mapinduzi
Cup inaendelea Jumapili kwa Mechi 4.
MAKUNDI.
KUNDI A
-Yanga SC
-Taifa ya
Jang’ombe [Zanzibar]
-Shaba
[Pemba]
-Polisi
[Zanzibar]
KUNDI B
-KCCA
[Uganda]
-Azam FC
-KMKM
[Zanzibar]
-Mtende
[Zanzibar]
KUNDI C
-Simba SC
-Mtibwa
Sugar
-JKU
[Zanzibar]
-Mafunzo
[Zanzibar]
RATIBA/MATOKEO.
** Mechi
zote kuchezwa Uwanja wa Amaan isipokuwa inapotajwa
Alhamisi
Januari 01,2015.
JKU 2
- 0 Mafunzo
Polisi 1
- 0 Shaba
Simba SC 0
- 1 Mtibwa
Ijumaa
Januari 02,2015.
KMKM 0
- 0 Mtende
KCCA 2 - 2 Azam
FC
Yanga 4
- 0 Taifa ya Jang’ombe
Jumamosi
Januari 03,2015.
JKU 1 - 1 Mtibwa
1
Mafunzo 0
- 1 Simba SC
Jumapili
Januari 04,2015.
1500 KCCA v
Mtende
1500 Taifa
ya Jang’ombe v Shaba [Uwanja wa Mao]
1700 KMKM v
Azam FC
2015 Yanga SC v
Polisi
Jumatatu
Januari 05,2015.
1500 Mtibwa
v Mafunzo
2015 Simba SC v
JKU
Jumanne
Januari 06,2015.
1500 KCCA v
KMKM
1500 Polisi
v Taifa ya Jang’ombe [Uwanja wa Mao]
1700 Azam FC
v Mtende
2015 Yanga SC v
Shaba
Jumatano
Januari 07,2015.
Robo
Fainali.
Mshindi
Kundi C v Mshindi wa 3 Bora Na. 2
Mshindi wa
Pili Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi C
Alhamisi
Januari 08,2015.
Mshindi
Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A
Mshindi
Kundi A v Mshindi wa 3 Bora Na. 1
Jumamosi
Januari 10,2015.
Nusu
Fainali
Mshindi RF 1
v Mshindi RF 2
Mshindi RF 3
v Mshindi RF 4
Jumanne
Januari 13,2015.
Fainali
|
No comments:
Post a Comment