JE WAMJUA :-Ni Gorge Masanju ateuliwa Mwanasheria mkuu mpya wa Serikali ya Tanzania. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, January 03, 2015

JE WAMJUA :-Ni Gorge Masanju ateuliwa Mwanasheria mkuu mpya wa Serikali ya Tanzania.

AG Masanju katikati.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. 

Uteuzi wa Bwana Masaju ulianza jana, Ijumaa, Januari 2, 2015 na ataapishwa keshokutwa, Jumatatu, Januari 5, 2015, Ikulu, Dar Es Salaam. 

Kabla ya uteuzi wake, Bwana Masaju alikuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali. 

Bwana Masaju pia amepata kuwa Mshauri wa Sheria wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad