Msani Mahiri wa Muziki wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva)Nchini Tanzania Nasib
Abdul ‘Diamond’ amechaguliwa kuwa mmoja wa wasanii watakaotumbuiza kwenye hafla
ya utoaji tuzo za mwanasoka bora Afrika 2014.
Diamond
atatumbuiza katika tuzo hizo ambazo wachezaji 25 nyota barani Afrika
wamechaguliwa kugombea tuzo hizo. Hafla hiyo itafanyika Januari 08, 2015 jijini
Lagosi ,nchini Nigeria.
Mwanasoka
Bora, Yaya Toure raia wa Ivory anayeitumikia Manchester City ya Uingereza ni kati
ya watakaowania nafasi hiyo.
Wanaowania
tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika 2014.
1. Ahmed Musa (Nigeria,
CSKA Moscow)
2. Asamoah Gyan (Ghana,
Al Ain)
3. Dame N’doye (Senegal,
Lokomotiv Moscow)
4. Emmanuel Adebayor (Togo, Tottenham)
5. Eric Maxim Choupo-Moting (Cameroon,
Schalke 04)
6. Fakhreddine Ben Youssef (Tunisia,
CS Sfaxien)
7. Ferdjani Sassi (Tunisia, CS Sfaxien)
8. Yao Kouassi Gervais ‘Gervinho’ (Cote
d’Ivoire, AS Roma)
9. Islam Slimani (Algeria,
Sporting Lisbon)
10. Kwadwo
Asamoah (Ghana, Juventus)
11. Mehdi
Benatia (Morocco, Bayern Munich)
12. Mohamed
El Neny (Egypt, Basel)
13.
Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon,
Borussia Dortmund)
14. Raïs
M'Bolhi (Algeria, Philadelphia Union)
15. Sadio
Mané (Senegal, Southampton)
16. Seydou
Kieta (Mali, As Roma)
17. Sofiane
Feghouli (Algeria, Valencia)
18. Stephane
Mbia (Cameroon,
Sevilla)
19. Thulani
Serero (South Africa, Ajax)
20. Vincent
Aboubakar (Cameroon, Porto)
21. Vincent
Enyeama (Nigeria, Lille)
22. Wilfried
Bony (Cote d’Ivoire, Swansea)
23. Yacine
Brahimi (Algeria, Porto)
24. Yannick
Bolasie (DR Congo, Crystal Palace)
25. Yaya
Toure (Cote d’Ivoire, Man City)
Wanaowania
tuzo za Mwanasoka Bora Afrika 2014 ( Kwa wachezaji wanaocheza Afrika)
1. Amr Gamal (Egypt,
Al Ahly)
2. Abdelrahman Fetori (Libya,
Ahly Benghazi)
3. Bernard Parker (South
Africa, Kaizer Chiefs)
4. Bongani Ndulula (South
Africa, Amazulu)
5. Akram Djahnit (Algeria,
ES Setif)
6. Ejike Uzoenyi (Nigeria,
Enugu Rangers)
7. El Hedi Belamieri (Algeria,
ES Setif)
8. Fakhereddine Ben Youssef (Tunisia, CS Sfaxien)
9. Ferdjani Sassi (Tunisia, CS Sfaxien)
10. Firmin
Mubel Ndombe (DR Congo, AS Vita)
11. Geoffrey
Massa (Uganda, Pretoria University)
12. Jean
Kasusula (DR Congo,
TP Mazembe)
13. Kader
Bidimbou (Congo, AC
Leopards)
14. Lema
Mabidi (DR Congo,
As Vita)
15. Mudathir
Al Taieb (Sudan, Al Hilal)
16. Roger
Assalé (Cote
d’Ivoire, Sewe Sport)
17. Senzo
Meyiwa (South Africa,
Orlando Pirates)
18. Solomon
Asante (Ghana, TP
Mazembe)
19.
Souleymane Moussa (Cameroon,
Coton Sport)
20. Yunus
Sentamu (Uganda, AS
Vita)
|
No comments:
Post a Comment