LA LIGA 2014/2015:-Picha Real Madrid na Atletico de Madrid zikishinda Mechi zao Leo Januari 31,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, January 31, 2015

LA LIGA 2014/2015:-Picha Real Madrid na Atletico de Madrid zikishinda Mechi zao Leo Januari 31,2015.

Wakicheza bila ya Mchezaji Bora Duniani, Cristiano Ronaldo, Real Madrid wameitandika Real Sociedad magoli 4-1 na kupaa kileleni mwa La Liga wakiwa Pointi 4 mbele ya Timu ya Pili FC Barcelona.

Ronaldo hivi sasa yupo kwenye Kifungo cha Mechi 2 baada ya kutolewa kwa Kadi Nyekundu kwenye Mechi yao iliyopita.
Kwenye Mechi hii iliyochezwa Santiago Bernabeu, Real Sociedad, inayoongozwa na David Moyes, Meneja wa zamani wa Manchester United, ilitangulia kufunga kwa Bao la Dakika ya 1 la Aritz Elustondo lakini Dakika ya pili na  baadae James Rodriguez aliisawazishia Reak Madrid.

Bao nyingine za Real Madrid zilifungwa na Sergio Ramos, Dakika ya 37 na Bao 2 za Karim Benzema za Dakika za 52 na 76.


Jumamosi Januari 31,2015.

Real Madrid CF 4 – 1  Real Sociedad 

SD Eibar 1 – 3  Atletico de Madrid

2200 Granada CF v Elche CF

0001 Celta de Vigo v Cordoba CF 

Jumapili Februari 1,2015.

1400 Levante v Athletic de Bilbao

1900 UD Almeria v Getafe CF

2100 Sevilla FC v RCD Espanyol

2300 FC Barcelona v Villarreal CF

Jumatatu  Februari 2,2015.

2245 Malaga CF v Valencia C.F

UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad