KUSIMIKWA ASKOFU MKUU JIMBO LA DODOMA LEO JANUARI 18:-Tazama Picha ,Hafla ikihudhuriwa pia na Makamu wa Rais Dr.Bilal. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, January 18, 2015

KUSIMIKWA ASKOFU MKUU JIMBO LA DODOMA LEO JANUARI 18:-Tazama Picha ,Hafla ikihudhuriwa pia na Makamu wa Rais Dr.Bilal.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Sherehe ya Kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Beatus Kinyaiya iliyofanyika leo Januari 18, 2015 katika Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Beatus Kinyaiya baada ya kusimikwa rasmi kwenye Sherehe iliyofanika leo Januari 18, 2015 katika Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu mbalimbali waliohudhuria sherehe ya kusimikwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Beatus Kinyaiya kwenye Sherehe iliyofanika leo Januari 18, 2015 katika Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Dodoma. (Picha na OMR)
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad