DAA TANZANIA YANGU:-Hii ni Shule ya msingi na Maisha yanaendelea....'' - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, January 15, 2015

DAA TANZANIA YANGU:-Hii ni Shule ya msingi na Maisha yanaendelea....''

Akiandika katika akaunti yake ya  Kijamii Mwana habari Joyce Ngallawa amesmea’’,-NI DARASA PEKEE AMBALO LINATUMIKA NA JAMII HII YA KIFUGAJI, AMBALO WANAFUNZI WANABADILISHANA SHIFT YA KUSOMA. OFISI YA WALIMU NI CHINI YA MTI.

Anasema’’,-Shule hii inapatikana wilayani Ngara mkoani Kagera ,Mwalimu analipwa na wazazi, shule haijasajiliwa, jamaa wamepiga kambi porini wanaendesha Maisha yao kibingwa’’,.KUONA ZAIDI PICHA NA MAONI BOFYA HAPA

UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad