EPL 2014/2015:-Taswira ya Picha mechi ya Tottenham 0-0 Manchester United Desemba 28,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, December 28, 2014

EPL 2014/2015:-Taswira ya Picha mechi ya Tottenham 0-0 Manchester United Desemba 28,2014.

Manchester United, wakicheza Ugenini huko White Hart Lane Jijini London, walitoka Sare 0-0 na Tottenham na kujichimbia kwenye Nafasi ya 3 ya Ligi Kuu Uingereza.

Hii ilikuwa ni Mechi ya kwanza kati ya 9 za Ligi Kuu Ungereza ambazo zinachezwa Leo,Desemba 28,2014.



UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad