EPL 2014/2015:-Picha 6 za Mchezo Southampton 1-1 Chelsea,Eden Hazard akiwaokowa kufungwa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, December 28, 2014

EPL 2014/2015:-Picha 6 za Mchezo Southampton 1-1 Chelsea,Eden Hazard akiwaokowa kufungwa.

Baada ya Timu zote 20 kukipiga Ijumaa Desemba 26,2014,Siku ya Boksing Dei huku Vigogo wote wa Ligi Kuu Uingereza wakishinda Mechi zao, Ligi hiyo ipo tena kilingeni Jumapili Desemba 28,2014 kwa tena Timu zote 20 kucheza.

 echi ya kwanza ilikuwa  ni kule White Hart Lane Jijini London wakati Tottenham Hotspur walipotoka sare ya 0 – 0 na  Manchester United.

Mechi ya pili ni huko Saint Mary ambapo Southampton walikuwa Wenyeji wa Vinara wa Ligi Chelsea na kutoka nao sare ya bao 1-1 na kuwafanya Chelsea kufikisha pointi 46 kileleni huku Mabingwa Manchester  City  wakicheza kwao Etihad na Burnley na Arsenal kuwa Wageni huko Upton Park kucheza na West Ham kwenye Dabi ya Jiji la London.

Mechi ya mwisho kwa Siku ya Jumapili ni ile Uwanjani Saint James Park wakati Wenyeji Newcastle wakicheza na Everton.

Didier Drogba of Chelsea reacts after receiving a knock during an attempt to score as Southampton's Toby Aderweireld looks on.




UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad