EPL 2014/2015:-Tazama Ashley Barnes akiwafunga Manchester City na kuumwaga uongozi wa bao 2-0 na kuiruhusu Burnley kupata Sare ya 2-2 Desemba 28,2014 mechi ya Ligi kuu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, December 29, 2014

EPL 2014/2015:-Tazama Ashley Barnes akiwafunga Manchester City na kuumwaga uongozi wa bao 2-0 na kuiruhusu Burnley kupata Sare ya 2-2 Desemba 28,2014 mechi ya Ligi kuu.

Ashley Barnes (third right) fires home to complete an impressive comeback for strugglers Burnley against second-placed Manchester City na Manchester City kuumwaga uongozi wa bao 2-0 na kuiruhusu Burnley, Timu ambayo iko Nafasi ya Pili toka mkiani, kusawazisha bao zote na kupata Sare ya 2-2 katika mechi ya Ligi kuu jana Desemba 28,2014.





Matokeo haya yamewabakisha City Nafasi ya Pili Pointi 3 nyuma ya Vinara Chelsea ambao nao mapema  walitoka Sare 1-1 na Southampton.

Huko Upton Park, Arsenal walitangulia kwa Bao 2-0 kabla ya Haftaimu na kupata ushindi wa Bao 2-1 dhidi ya Wenyeji West Ham ambao walifunga Bao lao moja Kipindi cha Pili Mfungaji akiwa Cheikhou Koiyate.

Ushindi huu umeipandisha Arsenal na kukamata Nafasi ya 5 wakiwa Pointi sawa na Timu ya 4 Southampton ambao wako juu yao kwa ubora wa Magoli.

Timu hizo ziko Pointi 3 nyuma ya Man United ambao wako Nafasi ya 3.

UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad