MESSI’S MAGIC :- Hii ndio rekodi aliyoivunja Lionel Messi ya Ufungaji bora Ligi kuu Nchini Hispania. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, November 23, 2014

MESSI’S MAGIC :- Hii ndio rekodi aliyoivunja Lionel Messi ya Ufungaji bora Ligi kuu Nchini Hispania.

22 November 2014: Mchezaji Lionel Messi alipiga Bao 3 wakati Timu yake Barcelona ikiitwanga Sevilla Uwanjani Nou Camp Bao 5-1 kwenye Mechi ya La Liga na kuivunja Rekodi ya Mabao mengi ya Ligi hiyo iliyokuwa ikishikiliwa na Fowadi wa Athletic Bilbao Telmo Zarra.

 Zarra alikuwa ndie Mfungaji Bora huko Spain na Bao 3 za Messi zimemfanya afikishe Mabao 253 katika Mechi 289 za La Liga.

Telmo Zarra alifunga Mabao 251 katika Mechi 278 alizocheza kati ya Mwaka 1940 hadi 1955.

27 January 2013:- Messi celebrates with team-mates Xavi Hernandez (left) and Carles Puyol after scoring four against Osasuna to pass the 200-goal mark in La Liga.

Champagne moments: Messi has won six La Liga titles at Barcelona since making his debut in 2004, scoring a combined total of 141 goals in those triumphant campaigns .

Katika Listi hiyo ya Wafungaji Bora wa Hispania Mchezaji mwingine pekee ambae yumo katika 10 Bora na bado anaendelea kulisakata Soka lake huko Hispania ni Mchezaji Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo, ambae ana Mabao 197 kwa Mechi 176.

LA LIGA WAFUNGAJI BORA.

NA
MCHEZAJI
MIAKA
MABAO
MECHI
1
Lionel Messi
2004–
253
289
2
Telmo Zarra
1940–1955
251
278
3
Hugo Sánchez
1981–1994
234
347
4
Raúl
1994–2010
228
550
5
Alfredo di Stéfano
1953–1966
227
329
6
César Rodríguez
1939–1955
223
353
7
Quini
1970–1987
219
448
8
Pahiño
1943–1956
210
278
9
Cristiano Ronaldo
2009–
197
176
10
Edmundo Suárez
1939–1950
195
231
11
Carlos Santillana
1970–1988
186
461




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad