UHALIFU KAGERA:-Awacharanga mapanga Mke na Watoto wa Kaka yake katika ugomvi wa mali za Urithi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, October 20, 2014

UHALIFU KAGERA:-Awacharanga mapanga Mke na Watoto wa Kaka yake katika ugomvi wa mali za Urithi.


Katika hali isiyo ya kawaida,mtuhumiwa mmoja jina lake linaifadhiwa kwa sasa amewajeruhi watu watatu (watoto wawili na mke wa kaka yake) baada ya kutokea ugomvi wa kugombea kipande cha ardhi kilichoachwa na baba yao.


Tukio hili limetokea katika wilaya ya Bukoba Vijijini.Mtuhumiwa yuko mikononi mwa Jeshi la Polisi huku majeruhi wakiwa katika Hospital ya Kagondo wakipata matibabu.


Habari Na:-Harakatinews-Bukoba.



Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad