AJALI KIGOMA:-Picha 7 za Ajali ya Gari mali ya UNHCR Likichepuka nje ya Barabara baada ya mwendo mkali Eneo la Kiganza ,Kigoma Vijijini. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, October 21, 2014

AJALI KIGOMA:-Picha 7 za Ajali ya Gari mali ya UNHCR Likichepuka nje ya Barabara baada ya mwendo mkali Eneo la Kiganza ,Kigoma Vijijini.

Kwa mujibu wa shuhuda amasema ajali hiyo imesababishwa na  Speed kali hivyo Dereva alipofika kwenye kona, gari hilo aina ya Toyota Landcruser namba T 205 CD 541 mali ya Shirika la UNHCR ikamshinda mpaka kugonga mchikichi.

Ajali hiyo imetokea jana October 21, 2014,katika eneo la Kiganza,Kigoma Vijijini na hakuna aliyepoteza maisha Zaidi ya Mtoto mdogo Kujeruhiwa.Picha Na:-Mwanawamakonda WhasApp +255789925630.




Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad