UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2014/2015:-Hiki ndicho ilichokipata Liverpool kutoka kwa Real Madrid wakati Arsenal ikipindia Matokeo na kushinda 2-1. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, October 22, 2014

UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2014/2015:-Hiki ndicho ilichokipata Liverpool kutoka kwa Real Madrid wakati Arsenal ikipindia Matokeo na kushinda 2-1.

Real Madrid, ambao ndio Mabingwa Watetezi wa Ulaya, wamefanikiwa kutamba vyema Anfield usiku huu wa October 22, 2014,wakiwa Vinara wa Kundi A la UEFA  Champions League 2014/2015,wakiwa wameshinda Mechi zao zote 3 baada ya kuifumua  Liverpool bao 3-0 .

Kwenye mechi hii,mabao ya Real Madrid yamefungwa na C. Ronaldo (23'),Benzema (30', 41').



UEFA  Champions League 2014/2015.

Jumatano Oktoba 22,2014.

KUNDI A

Atlético Madrid 5 - 0 Malmö FF

Olympiakos 1 - 0 Juventus

KUNDI B

Liverpool 0 - 3 Real Madrid

Ludogorets Razgrad 1 - 0 FC Basel

KUNDI C

Bayer 04 Levserkusen 2 - 0 Zenit St Petersburg

Monaco 0 - 0 Benfica

KUNDI D

Galatasaray 0 - 4 Borussia Dortmund

RSC Anderlecht 1- 2 Arsenal

Group A

Pos.TeamPGDPts
1 306
2 356
3 303
4 3-53

Group B

Pos.TeamPGDPts
1 389
2 3-13
3 3-33
4 3-43

Group C

Pos.TeamPGDPts
1 336
2 315
3 304
4 3-41

Group D

Pos.TeamPGDPts
1 399
2 326
3 3-41
4 3-71

Group E

Pos.TeamPGDPts
1 389
2 3-24
3 3-12
4 3-51

Group F

Pos.TeamPGDPts
1 327
2 326
3 3-22
4 3-21

Group G

Pos.TeamPGDPts
1 377
2 315
3 3-62
4 3-21

Group H

Pos.TeamPGDPts
1 377
2 375
3 3-123
4 3-21

Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad