AJALI IRINGA:-Tazama Picha 4 Mabasi mawili Yakigongana na Kunusuru kifo Zaidi ya Abiria 100 waliokuwa wakisafiri. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, October 24, 2014

AJALI IRINGA:-Tazama Picha 4 Mabasi mawili Yakigongana na Kunusuru kifo Zaidi ya Abiria 100 waliokuwa wakisafiri.

Askari Polisi na Mashuhuda wakiwa eneo la tukio ambapo Abiria waliokuwa wakisafiri katika Mabasi ya Kimotco na Florida Jana October 23,2014,asubuhi walinusurika baada mabasi hayo kugongana uso kwa uso katika barabara ya Iringa - Dodoma majira ya  saa moja na nusu asubuhi. 

Aidha Basi la Kimotco husafiri kati ya Iringa na Arusha na lina namba za usajili T 449 CAL wakati Florida  husafiri  kati ya Migoli  na Iringa na lina namba za usajili T 571 BDX.

Kwa mujibu wa mashuhuda, Wamesema ajali hiyo  ilisababishwa na kona katika eneo husika na mwedo kasi wa mabasi yote mawili.

Muonekano wa basi la Florida namba za usajili T 571 BDX baada ya ajali hiyo kutokea.


Basi la Kimotco lenye namba za usajili T 449 CAL  likiwa pembezoni mwa barabara baada ya ajali hiyo.
Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad