UCHUMI WETU:-Tazama Picha 7 za jengo hili la Ofisi za Chama ,Kazi za Ilani kama kawaida Ila sasa......??? - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, October 25, 2014

UCHUMI WETU:-Tazama Picha 7 za jengo hili la Ofisi za Chama ,Kazi za Ilani kama kawaida Ila sasa......???

Kwa muda sasa Kazi za Ilani ya Chama ndani ya Ofisi hii Kata ya Bitale,Kigoma Vijijini zinaendelea ila muda wowote Jengo hili linaweza Kuangua kwa kukosa uimara na Ubora kama Picha zinavyolionesha hapa.



Jengo la Ofisi za Chama  Kata ya Bitale,Kigoma Vijijini likionekana kuchoka na wakati wowote linaweza Kuangua kwa kukosa uimara na Ubora .
 

Hili ni Jengo la Choo kinachotumiwa na Wahusika wa ofisi hiyo ya Chama,Kata ya Bitale,Kigoma Vijijini.Picha na :-Mwanawamakonda WhatsApp +255789925630.
Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad