BREAKING NEWS:-Wezi wateka walinzi kisha kuiba Mali katika Duka la Fadhili Mjini Kabanga,Ngara. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, October 26, 2014

BREAKING NEWS:-Wezi wateka walinzi kisha kuiba Mali katika Duka la Fadhili Mjini Kabanga,Ngara.

Kwa mujibu wa mashuhuda kutoka eneo la tukio,wamesema kuwa Watu hao wanaosadikiwa ni Majambazi usiku wa kuamkia leo October 26,2014,Wamekuja na silaha kisha  wakawateka walinzi na kubomoa ukuta wa nyuma wa Duka hilo Na kufanikiwa kuvunja sefu wakachukuwa hela zote zilizo kuwemo ndani na kukimbia nazo.

Mpaka sasa bado idadi kamili ya mali iliyoibiwa haijatajwa.
Hii ndio Taswira ya ukuta wa duka hilo la Fadhili lililopo eneo la Stendi ya Kabanga mjini Kabanga ,wilayani Ngara mkoani Kagera lilivyobomolewa na watu hao wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi.Picha na :-Mwanawamakonda WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad