MVUA ZETU:-Tazama Picha 5 namna Maji yalivyofurika na Kukatiza Mawasiliano kwa muda kati ya Mzani na Murusagamba Jana October 24,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, October 25, 2014

MVUA ZETU:-Tazama Picha 5 namna Maji yalivyofurika na Kukatiza Mawasiliano kwa muda kati ya Mzani na Murusagamba Jana October 24,2014.


Kwa muda jana October 24, 2014,kulikosekana  mawasiliano baada ya mvua kubwa kunyesha maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Ngara mkoani Kagera ambapo maji mengi yaliyosababishwa na mvua hiyo yalifunika Daraja la mpakani mwa Biharamulo na Ngara,katika eneo la Barabara itokayo Mzani kuelekea Murusagamba.Picha Na:-Mwanawamako WhatsApp.



Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad