PICHA /ZIARA MKOA WA kigoma:-Yaliyojiri wakati Mh. Josephina Ngenzabuke akilakiwa na Mamia ya Wanawake katika Kata ya Muhange, Kakonko. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, October 22, 2014

PICHA /ZIARA MKOA WA kigoma:-Yaliyojiri wakati Mh. Josephina Ngenzabuke akilakiwa na Mamia ya Wanawake katika Kata ya Muhange, Kakonko.

Mbunge Viti Maalumu Mkoa wa Kigoma Mh. Josephina Ngenzabuke leo October 20, 2014,alivyolakiwa na Mamia ya Wanawake katika Kata ya Muhange, Kakonko ambapo anafanya ziara ya mkoa wa Kigoma kuhamasisha Wanawake kujitogeza kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi kwenye chaguzi za Serikali za Mitaa,Kuipigia kura ya ‘’NDIYO’’Katiba inayopendekezwa pamoja na kushiriki shughuli mbalimbali za Maendeleo chini ya UWT-Umoja wa wanawake (CCM).:-Picha Na:-Anna Matenga-Kibondo.




Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad