MAFANIKIO:-Tazama Picha 4 za John Terry alipofikisha Mechi 500 Chelsea akiwa Nahodha. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, October 20, 2014

MAFANIKIO:-Tazama Picha 4 za John Terry alipofikisha Mechi 500 Chelsea akiwa Nahodha.

 Nahodha wa Chelsea John Terry akishukuru baada ya kufikisha Mechi 500 akiwa Nahodha hapo October 18,2014, wakati Vinara wa Ligi Kuu England, Chelsea, walipoendelea kubembea kileleni baada ya kushinda Ugenini walipoichapa Crystal Palace Bao 2-1 .

Chelsea katika mchezo huo walishinda Mechi kwa Bao za Oscar, Dakika ya 6, na Cesc Fabregas, Dakika ya 51, na Palace kufunga Bao lao Dakika ya 90 kupitia Fraizer Campbell.

Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
Baada ya Mechi kumalizika ,Hiki ndicho akaposti picha  kwenye akaunti yake ya  Instagram ( of a bottle of Sassicaia and two glasses with the message: 'Today was my 500th game as Chelsea Captain,I had the pleasure of playing and learning from the best with Dennis Wise and Marcel Desailly two heroes and great captains who always had time for me as a young boy. A glass of SASSICAIA to celebrate. Thanks for your unbelievable support. JT'  )

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad