KATUNI YA LEO:-Ni kuhusu Timu 14 shiriki Ligi Vodacom 2014/2014 na Msimamo baada ya Mechi ya October 19, 2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, October 20, 2014

KATUNI YA LEO:-Ni kuhusu Timu 14 shiriki Ligi Vodacom 2014/2014 na Msimamo baada ya Mechi ya October 19, 2014.

JKT Ruvu, wakicheza Ugenini huko Sokoine, Jijini Mbeya, wamepata ushindi wao wa kwanza kwenye Ligi Kuu Vodacom walipoichapa Prisons Bao 2-1.

JKT Ruvu walifunga Bao zao kupitia Najim Magulu na Jabir Aziz huku Amir Omar akiifungia Prisons. 

Ushindi huu wa Leo umewanasua JKT Ruvu toka mkiani na kupanda hadi Nafasi ya 11.

Ligi Kuu Vodacom itaendelea Jumamosi ijayo kwa Mechi 6 ambapo Vinara na Mabingwa Watetezi Azam FC watakuwa kwao Azam Complex huko Chamazi, Dar es Salaam kucheza na JKT Ruvu.

Vigogo Nchini, Yanga na Simba, wote watakuwa Ugenini kwa Yanga kuivaa Stand United huko Uwanja wa Kambarage, Shinyanga na Simbe kuwa Sokoine Jijini Mbeya kucheza na Prisons.

LIGI KUU VODACOM 2014/2015- RATIBA.

Jumamosi Oktoba 25,2014.

Stand United v Yanga [Kambarage, Shinyanga]

Ndanda FC v Mgambo JKT [Nangwanda, Mtwara]

Kagera Sugar v Coastal Union [Kaitaba, Bukoba]

Azam FC v JKT Ruvu [Azam Complex, Dar es Salaam]

Prisons v Simba [Sokoine, Mbeya]

Ruvi Shooting v Polisi Moro [Mabatini, Mlandizi]

Jumapili Oktoba 26,2014.

Mbeya City v Mtibwa Sugar [Sokoine, Mbeya]
MSIMAMO VPL 2014/2015.

NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Azam FC
4
3
1
0
6
1
4
10
2
Mtibwa Sugar
4
3
1
0
6
1
5
10
3
Coastal Union
4
2
1
1
6
4
0
7
4
Yanga
4
2
1
1
4
4
0
7
5
Kagera Sugar
4
1
2
1
3
2
1
5
6
Mbeya City
4
1
2
1
1
0
1
5
7
Stand United
4
1
2
1
3
5
-2
5
8
Tanzania Prisons
4
1
1
2
4
4
0
4
9
Simba
4
0
4
0
4
4
0
4
10
Ruvu Shooting
4
1
1
2
3
5
-2
4
11
JKT Ruvu
4
1
1
2
3
5
-2
4
12
Ndanda FC
4
1
0
3
7
9
-2
3
13
Polisi Moro
4
1
2
1
3
5
-2
3
14
Mgambo JKT
4
1
0
3
1
4
-3
3

MATOKEO- MECHI ZILIZOPITA.

Jumapili Oktoba 19,2014.

Prisons 1 JKT Ruvu 2

Jumamosi Oktoba 18,2014.

Polisi Moro 0 Mtibwa Sugar 0

Ndanda FC 1 Ruvu Shooting 3

Kagera Sugar 0 Stand United 0

Coastal Union 2 Mgambo JKT 0

Mbeya City 0 Azam FC 1

Yanga SC 0 Simba SC 0

Jumapili Oktoba 05,2014.

Yanga SC 2 JKT Ruvu 1

Mtibwa Sugar 1 Mgambo JKT 0

Jumamosi Oktoba 04,2014.

Polisi Moro 1 Kagera Sugar 1

Coastal Union 2 Ndanda FC 1

Simba SC 1 Stand United 1

Prisons 0 Azam FC 0

Ruvu Shootings 0 Mbeya City 0

Septemba 28,2014.

JKT Ruvu 0 Kagera Sugar 2

Yanga SC 2 Prisons 1

Septemba 27,2014.

Simba SC 1 Polisi Moro 1

Azam FC 2 Ruvu Shooting 0  
      
Mbeya City 1 Coastal Union 0

Mgambo JKT 0 Stand United 1

Mtibwa Sugar 3 Ndanda FC 1

Septemba 21,2014.

Simba SC 2 Coastal Union 2 

Septemba 20,2014.

Azam FC 3 Polisi Moro 1

Mtibwa Sugar 2 Yanga SC 0 

Stand United 1 Ndanda FC 4

Mgambo JKT 1 Kagera Sugar 0 

Ruvu Shooting 0 Tanzania Prisons 2

Mbeya City 0 JKT Ruvu 0

Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad