LIGI SOKA WILAYA YA NGARA:- Ngara Stars na walimu FC sasa waungana na Rulenge Stars na Kabanga FC robo fainali October 17,2014 huku Ngara Boys,Rusumo FC na Benaco Stars ngoma Droo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, October 12, 2014

LIGI SOKA WILAYA YA NGARA:- Ngara Stars na walimu FC sasa waungana na Rulenge Stars na Kabanga FC robo fainali October 17,2014 huku Ngara Boys,Rusumo FC na Benaco Stars ngoma Droo.


Ligi soka  wilaya ya Ngara mkoani Kagera yenye lengo ya kupata Bingwa wa wilaya 2014/2015,imeendelea tena leo October 12,2014 katika viwanja viatu tofauti ambapo Uwanja wa kokoto mjini Ngara ,Timu ya Walimu FC imefanikiwa kuungana na Kabanga FC hatua ya robo fainali kutoka kundi A baada ya kuifunga kwa binde Mabawe FC bao 1-0. 

Katika uwanja wa Rulenge timu ya Ngara Stars imeiadhibu timu ya Nyakisasa FC kwa jumla ya goli 3-0 na hivyo kuungana na Rulenge White Stars hatua ya robo fainali kutoka kundi lao la C.

Katika uwanja wa Benaco,Timu ya Rusumo FC ilizinduka baada ya kuchapwa bao 1-0 na Ngara Boys FC na kuiadhibu Benaco Stars bao 2-1. 

Katika kundi hili la B,Timu zote Benaco Stars ,Rusumo na Ngara Stars zimemaliza michezo yao kwa kulingana Pointi 3 na goli Moja moja.
RATIBA / MATOKEO YA MASHINDANO LIGI SOKA WILAYA YA NGARA 2014/2015.
UWANJA
TIMU
TAREHE
KOKOTO
KABANGA 1-1 WALIMU
8/10/2014
KOKOTO
MABAWE 1-3 KABANGA
10/10/2014
KOKOTO
WALIMU 1-0 MABAWE
12/10/2014
BENACO
BENACO 2-1 NGARA BOYS
8/10/2014
BENACO
NGARA BOYS 1 - 0 RUSUMO FC
10/10/2014
BENACO
RUSUMO 2-1 BENACO
12/10/2014
RULENGE
RULENGE 1-1 NGARA STARS
8/10/2014
RULENGE
NYAKISASA 1 - 9 RULENGE
10/10/2014
RULENGE
NGARA STARS 3-0 NYAKISASA
12/10/2014

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad