AJALI:- Watu kadhaa wadaiwa kupoteza Maisha baada ya Gari dogo kuingia chini ya uvungu wa Basi la HAPPY NATION. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, October 12, 2014

AJALI:- Watu kadhaa wadaiwa kupoteza Maisha baada ya Gari dogo kuingia chini ya uvungu wa Basi la HAPPY NATION.

Pichani juu na chini ni baadhi ya Watu wakitazama ajali iliyotokea maeneo ya Hedaru Wilayani Same mkoani Kilimanjaro jioni ya leo October 12,2014,ambapo ajali hiyo ilihusisha gari ndogo yenye namba za usajili T653 BZR kuingia chini ya uvungu wa basi la abairia lijulikanalo kwa jina la Happy Nation.

 Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kilieleza kuwa abiria wote waliokuwemo ndani ya gari ndogo (ambao idadi yao haikujulikana) walipoteza maisha papo hapo.

Aidha bado haikufahamika mapema chanzo cha ajali hiyo ni nini.

Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad