|
Kipa wa Yanga Deogratias Munishi akiruka kudaka mpira wa krosi mbele ya
mshambuliaji wa Simba Elius Maguri wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara
uliomaliziki jioni ya leo October 18, 2014,kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam, bila timu hizo kufungana.
|
|
Vigogo wa
Soka Tanzania, Yanga SC na Simba SC, Leo October 18,2014 walikutana Jijini Dar es Salaam Uwanja wa
Taifa na kutoka 0-0 katika Mechi yao ya kwanza kati yao ya Ligi Kuu Vodacom Tanzania bara kwa msimu wa 2014/2015.
Matokeoa
haya yameifanya Simba SC iendeleze wimbi lao la Droo kwenye Mechi zao zote 4 za
Ligi Msimu huu wakati Yanga SC wameshinda Mechi 2, Sare 1 na kufungwa 1.
Huko Mbeya,
Wenyeji Mbeya City walilala kwa Bao 1-0 walipocheza na Mabingwa Watetezi Azam
FC.
Bao la
ushindi la Azam FC lilifungwa Dakika ya 19 na Aggrey Morris na kuwafanya
Mabingwa hao wakaa kileleni baada ya waliokuwa Vinara, Mtibwa Sugar, kutoka 0-0
na Polisi Moro.
Huko
Mkwakwani Jijini Tanga, Coastal Union iliichapa Mgambo JKT Bao 2-0 kwa Bao za
Ramadhan Salim na Kenneth Masumbuko.
|
|
Kocha wa Simba, Patrick Phir akiingia uwanjani.
|
|
Kocha wa Yanga, Marcio Maximo akiingia Uwanjani.
|
|
Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akiondosha mpira wa
hatari katika eneo la langoni kwake huku mshambuliaji wa Simba, Elius Maguri
(katikati) akijaribu kunyoosha guu ili kupiga mpira huo bila mafanikio wakati
wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliomaliziki jioni ya leo October 18,2014,kwenye Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam, bila timu hizo kufungana. Kushoto ni Kelvin Yondan,
akijiandaa kutoa msaada.
|
|
Mashabiki wa Simba wakimzawadia pesa kipa wao, Manyika Peter baada ya
kuokoa hatari nyingi langoni mwake.
|
Jumapili Oktoba 19,2014.
Prisons v JKT Ruvu
MSIMAMO LIGI KUU VODACOM 2014/2015.
NA |
TIMU |
P |
W |
D |
L |
F |
A |
GD |
PTS |
1 |
Azam FC |
4 |
3 |
1 |
0 |
6 |
1 |
4 |
10 |
2 |
Mtibwa Sugar |
4 |
3 |
1 |
0 |
6 |
1 |
5 |
10 |
3 |
Coastal Union |
4 |
2 |
1 |
1 |
6 |
4 |
0 |
7 |
4 |
Yanga |
4 |
2 |
1 |
1 |
4 |
4 |
0 |
7 |
5 |
Mbeya City |
4 |
1 |
2 |
1 |
1 |
0 |
1 |
5 |
6 |
Tanzania Prisons |
3 |
1 |
1 |
1 |
3 |
2 |
1 |
4 |
7 |
Kagera Sugar |
3 |
1 |
1 |
1 |
3 |
2 |
1 |
4 |
8 |
Simba |
4 |
0 |
4 |
0 |
4 |
4 |
0 |
4 |
9 |
Ruvu Shooting |
4 |
1 |
1 |
2 |
3 |
5 |
-2 |
4 |
10 |
Stand United |
3 |
1 |
1 |
1 |
3 |
5 |
-2 |
4 |
11 |
Ndanda FC |
4 |
1 |
0 |
3 |
7 |
9 |
-2 |
3 |
12 |
Polisi Moro |
4 |
1 |
2 |
1 |
3 |
5 |
-2 |
3 |
13 |
Mgambo JKT |
4 |
1 |
0 |
3 |
1 |
4 |
-3 |
3 |
14 |
JKT Ruvu |
3 |
0 |
1 |
2 |
1 |
4 |
-3 |
1 |
Karibu
kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana
/Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
No comments:
Post a Comment