AJALI TANZANIA:-Tazama Picha 6 kuhusu Ajali za Malori ya Mizigo yanayoanguka Barabara ya Lusahunga - Rusumo - Ngara ,mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, October 21, 2014

AJALI TANZANIA:-Tazama Picha 6 kuhusu Ajali za Malori ya Mizigo yanayoanguka Barabara ya Lusahunga - Rusumo - Ngara ,mkoani Kagera.

Ajali za mara kwa mara katika barabara hii ya kutoka Lusahunga kwenda Rusumo mpaka wa Nchi ya Tanzania na Rwanda na ule wa Burundi kupitia Ngara mkoani Kagera zimekua zikiyahusisha Magari makubwa ya Mizigo kama picha zinavyoonesha) mengi ikielezwa ni kufeli kwa mfumo wa Breki licha ya Madereva wa magari hayo kwa wakati tofauti kulalamikia ubovu wa barabara hiyo ya kiwango cha Lami kujaa mashimo kutokana na kuchakaa kwa sasa.





Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad