Mabao ya Ngara Stars yalifungwa kitalamu na kuvutia Watazamaji kupitia kwa Edward Kijanjali bao 2 na Abdul Karim. |
Ngara
Stars leo Septemba 21,2014 ,walikuwa wanacheza mchezo huo wa Kirafiki wa
Ujirani Mwema na Bingwa wa Kombe la Chama cha Mapinduzi CCM 2013/2014,Timu ya
Kasulu United baada ya Jana Septemba 20,2014 kucheza mchezo mwingine wa
Kimataifa wa kirafiki na Timu ya mkoa wa Chankuzo nchini Burundi na kuwafunga
bao 3-0.KUJUA ZAIDI MCHEZO HUO INGIA HAPA
|
Kikosi cha Ngara
Stars leo katika Picha ya pamoja ndani ya Uwanja wa Kokoto mjini Ngara.
|
Kikosi cha Kasulu United leo katika Picha ya pamoja ndani ya Uwanja wa Kokoto mjini Ngara. |
Utata nao wa Maamuzi ya Refa wa mechi ya leo Septemba 21,2014-Seif Upupu na Wasaidizi wake uliwatatiza wachezaji wa pande zote mbili wakati wa mchezo huo kama picha inavyoonyesha. |
Kushoto ni Afisa Utamaduni na Michezo wilaya ya Ngara Salumu Bakari na wa tatu ni Katanga katibu mkuu chama cha soka wilaya -NDFA wakifatilia mchezo huo uwanja wa Kokoto mjini Ngara.
|
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
Like ukurasa wetu wa facebook ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
|
No comments:
Post a Comment