UEFA 2014/2015:-BATE Borisov wakipata dhidi ya FC Porto huku Barcelona na Bayern Munich wakipata ushindi Finyu katika Ligi ya Mabingwa Ulaya Septemba 17,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, September 18, 2014

UEFA 2014/2015:-BATE Borisov wakipata dhidi ya FC Porto huku Barcelona na Bayern Munich wakipata ushindi Finyu katika Ligi ya Mabingwa Ulaya Septemba 17,2014.

Chelsea imeshindwa kufurukuta nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya mabao 1-1 dhidi ya Schalke 04 katika mechi iliyochezwa nyumbani Stamford Brigde, London  Septemba 17,2014.

Juhudi za Jose Mourinho kufanya mabadiliko kadhaa hazikuzaa matunda na bao pekee la Cesc Fabregas lilibaki huku Schalke wakisawazisha na kufanya mambo yawe magumu kwa Chelsea.

KUNDI G 

Chelsea 1 – 1 FC Schalke 

NK Maribor 1 – 1  Sporting Lisbon

Mchezaji Jerome Boateng ambaye aliwahi kuwa beki wa Man City,  Septemba 17,2014, ameibuka kuwa shujaa wa Bayern Munich baada ya kufunga bao pekee katika dakika ya 90 na kuifunga Man City bao 1-0.

Huku ikionekana kama mechi hiyo ndani ya Dimba la Alianz Arena utamalizika kwa sare, Boateng aliyecheza beki tano, alimaliza kazi na kuizamisha City.

KUNDI E 

Bayern Munich 1 – 0  Man City

AS Roma 5 – 1 CSKA Moscow

FC Barcelona nayo ikiwa nyumbani, ikaibuka na ushindi kiduchu wa bao 1-0 ,bao lililofungwa na Gerard Pique kwa kichwa.

Mechi hiyo dhidi ya Apoel ilionekana itakuwa nyepesi  kwa Barcelona, lakini ililazimika kufanya kazi ya ziada na kushinda kwa bao hilo moja.

KUNDI F 

Ajax 1 - 1 Paris St-Germain 

Barcelona 1  - 0 APOEL Nicosia


Gervinho raia wa Ivory Coast naye akaibuka shujaa kwa kuingoza AS Roma kuivuruga CSKA Moscow ya Russia kwa mabao 5-1, yeye akitupia mawili.

KUNDI H

Athletic Bilbao 0 – 0 Shakhtar Donetsk 

FC Porto 6 – 0 BATE Borisov 

MAKUNDI/MATOKEO UEFA 2014/2015.

Jumanne Septemba 16,2014.

KUNDI A

Juvsentus 2- 0  Malmö FF 

Olympiakos 3 – 2  Atlético Madrid 

KUNDI B 

Liverpool 2 – 1 Ludogorets Razgrad 

Real Madrid 5 – 1 FC Basel 

KUNDI C 

Benfica 0 – 2 Zenit St Petersburg 

Monaco 1 – 0 Bayer 04 Levserkusen 

KUNDI D 

Borussia Dortmund 2 – 0 Arsenal 

Galatasaray 1  - 1 RSC Anderlecht

UEFA 2014/2015 RATIBA MECHI ZIJAZO

Jumanne Septemba 30,2014.

KUNDI E

1900 CSKA Moscow VS Bayern Munich

Man City VS Roma

KUNDI F

APOEL Nicosia VS Ajax

Paris St-Germain VS Barcelona

KUNDI G 

FC Schalke 04 VS NK Maribor

Sporting Lisbon VS Chelsea

KUNDI H 

BATE Borisovs VS Athletic Bilbao

Shakhtar Donetsk VS FC Porto

Jumatano Oktoba 1,2014.

KUNDI A

Atlético Madrid VS Juvsentus

Malmö FF VS Olympiakos

KUNDI B 

FC Basel VS Livserpool

Ludogorets Razgrad VS Real Madrid

KUNDI C 

1900 Zenit St Petersburg VS Monaco

Bayer 04 Levserkusen VS Benfica

KUNDI D 

Arsenal VS Galatasaray

RSC Anderlecht VS Borussia Dortmund


UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad