MAJANGA YA AJALI TANZANIA:-Tazama Picha 3 za Basi la SHAKILA Lilivyotumbukia Mto Pangani mkoani Tanga baada ya Kufeli Breki. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, September 18, 2014

MAJANGA YA AJALI TANZANIA:-Tazama Picha 3 za Basi la SHAKILA Lilivyotumbukia Mto Pangani mkoani Tanga baada ya Kufeli Breki.

Basi la Shakila likiwa limetumbukia katika Mto Pangani wakati likiwa kwenye kivuko cha MV Pangani baada ya kufeli mfumo wa break katika.

Tukio hilo lililoleta Majeruhi kwa Dereva wa basi hilo limetokea Septemba 17,2014 majira ya Asubuhi.


UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad