TAMATI YA LIGI KIGOMA TUITAKAYO:-Wawashukuru wadau wote wa Soka mkoani Kigoma kwa Kufanikisha Mashindano yaliyotoa Washindi Mwanga United. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, September 14, 2014

TAMATI YA LIGI KIGOMA TUITAKAYO:-Wawashukuru wadau wote wa Soka mkoani Kigoma kwa Kufanikisha Mashindano yaliyotoa Washindi Mwanga United.

Ilikuwa jana Jumamosi Septemba 13,2014, kuhitimisha ligi na uzinduzi wa asasi ya KIGOMA TUITAKAYO katika uwanja wa lake tanganyika siku yenye historia kubwa kwa asasi ambapo Mwanga united walishinda nakuandika historia ya champion wa kwanza katika mashindano ya kwanza chini ya Kigoma Tuitakayo.
Washindi Mwanga united walipata seti 2 ya jezi na mipira 2 washindi wa pili Saigoni walipata seti ya jezi mipira 1 ambapo Veta fc timu yenye nidhamu ikipata seti ua jezi huku kila timu shiriki ikiwamo washindi wakipata mpira mmoja.

hadi dk 90 timu ziliztoka sare ya 1-1 kabla ya penalt mwanga 4 saigoji 3.
Hapo katika picha ni nasaha mbalimbali mgeni rasmi mwakilishi wa mkuu wa mkoa wa kigoma, mkuu wa wilaya ya kigoma Ramadhan Maneno bila kusahau mwenyekiti kihistoria Emmanuel Godfrey na katibu wa chama cha mpira Kigoma mjini Ibrahimu Msongera.




Kama mkuu wa kurugenzi ya habari michezo na burudani shukrani kwa viongozi na wanachama na wasio wanachama waliojitoa nguvu mawazo fedha na mali kufanikisha mashindano hayo kila mtu kwa namna alivyoshiriki

Umoja ni nguvu na kigoma tuitakayo inawezekana

hongera mwanga united Saigoni fc na Veta fc kwa kutwaa zawadi maalumu

Jacob Ruvilo.
Mkuu wa kurugenzi ya habari michezo na burudani asasi ya

KIGOMA YUITAKAYO MKOA WA KIGOMA
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad