PICHA ZAIDI ZA AJALI YA BASI LA RUKSA –KAKONKO:- Ajali hiyo ya Septemba 08,2014 iliua Watu wawiili na wengine 65 kujeruhiwa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, September 10, 2014

PICHA ZAIDI ZA AJALI YA BASI LA RUKSA –KAKONKO:- Ajali hiyo ya Septemba 08,2014 iliua Watu wawiili na wengine 65 kujeruhiwa.

Basi la Ruksa aina ya Scania lenye namba za usajili  T 273 ACX llililokuwa iliktokea mkoani Kigoma kwenda wilayani Kahama mkoani Shinyang'a likiwa limepata ajali katika kijiji cha Kanyonza wilayani Kakonko,mkoani Kigoma ambapo watu Wawili walipoteza maisha papo hapo na wengine 65 kujeruhiwa katika Ajali hiyo ya Septemba 08,2014,majira ya saa Sita mchana.

Pichani juu na chini ni Jeshi la polisi wilaya ya Kakonko lilifika eneo hilo na kuwachukuwa waliojeruhiwa  na kuwapeleka katika hospitali ya wilaya  kwa ajili ya matibabu.

Taswira ya Basi hilo la Ruksa likiwa eneo la Ajali ambapo mashuhuda wanasema chanzo cha ajali kilisababishwa na mwendo kasi.
Picha Na:Mwanawamakonda WhatsApp +255789925630.

Pichani ni Baadhi ya Majeruhi wa ajali hiyo wakiwa wodini  katika hospitali ya wilaya ya Kakonko kwa ajili ya matibabu.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad