VAN GAAL AREJESHA FURAHA MAN UNITED:-Tazama Picha Ikiwakung’uta Liverpool 3-1 na Kuchukua Kombe la Kimataifa –Marekani. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, August 05, 2014

VAN GAAL AREJESHA FURAHA MAN UNITED:-Tazama Picha Ikiwakung’uta Liverpool 3-1 na Kuchukua Kombe la Kimataifa –Marekani.


Darren Fletcher na Rooney wakiwa wameinua Kombe la Kimataifa baada ya kuichapa Liverpool Na kumfanya Kocha Louis Van Gaal kutwaa taji la kwanza akiwa na Manchester United baada ya usiku wa kuamkia leo (Agost 05,2014) kuwachapa mahasimu, Liverpool mabao 3-1 Uwanja wa Sun Life mjini Miami, Marekani na kubeba Kombe la Kimataifa, michuano ya klabu kujiandaa na msimu mpya.

 Shukrani kwao, wafungaji wa mabao hayo, Rooney dakika ya 55, Mata 57 na Lingard 88, baada ya Gerrard kutangulia kuwafungia Liverpool kwa penalti dakika ya 14.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

Kikosi cha Man United kilikuwa; De Gea, Evans/Blackett dk46, Smalling, Jones, Valencia/Shaw dk9, Herrera/Lingard dk78, Fletcher/Cleverley dk46, Young, Mata/Kagawa dk68, Rooney na Hernandez/Nani dk68.

Liverpool; Mignolet, Kelly, Johnson, Skrtel, Sakho/Toure dk74, Gerrard/Lucas dk62, Allen/Ibe dk62, Henderson, Coutinho/Peterson dk77, Lambert/Can dk62 na Sterling.

Uwanja wa  SUN LIFE Jijini Miami unavyoonekana saa chache kabla ya mechi hiyo ya Kombe la Kimataifa ( GUINNES INTERNATIONAL CUP) ambayo ilimalizika kwa Manchester United kuichapa Liverpool kwa mabao 3-1 na kutwaa kombe hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad