UTALII WA NDANI:- Tazama Picha 16 za Muonekano wa Jiji la Mwanza na Mabadiliko yake kila Uchao. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, August 02, 2014

UTALII WA NDANI:- Tazama Picha 16 za Muonekano wa Jiji la Mwanza na Mabadiliko yake kila Uchao.


Barabara ya Nyerere …utulivu na pilika zake…ndani ya jiji la Mwanza…

ambapo Mkoa wa Mwanza kiutawala ugawanyika katika wilaya saba(7) ambazo ni :-

1.    Nyamagana
2.    Ilemela
3.    Kwimba
4.    Magu
5.    Misungwi
6.    Sengerema
7.    Ukerewe

Kila wilaya ina Tarafa ,kata ,Vijiji ,Vitongoji au Mitaa kupeleka utawala karibu pia na wananchi.

     Mkoa una majimbo ya uchaguzuzi kumi na matatu ambayo ni :-

1.    Jimbo la Nyamagana
2.    Jimbo la Ilemela
3.    Jimbo la Kwimba
4.    Jimbo la Sumve
5.    Jimbo la Magu
6.    Jimbo la Misungwi
7.    Jimbo la Sengerema
8.    Jimbo la Buchosa
9.    Jimbo la Ukerewe

Mkoa pia unao wabunge wanne (4)wa Viti Maalumu


..........Mwonekano wa engo flani ya jiji la Mwanza, Ziwa Victoria na mwambao wake......


Chini ni muonekano wa nyasi safi zilizopandwa kando ya ziwa Victoria ndani ya jiji la Mwanza, na kwambali ni Bismark Rock.


..............Kilima cha Bugando na Vihusishi vyake..................


.............Juu kwa juu na kipande cha barabara ya Rufiji Mwanza.............


.........Uhuru road, Pamba road, Nyerere road, Kaluta road alimuradi ni mchanganyiko......


..............Kilima cha Bugando na Vihusishi vyake..................


......Kwa mbaaaaali vilima vya Mirongo na chini ni majengo ya shule ya msingi Mirongo ....


.................Mirongo juu...................


Juu kwa juu shule ya sekondari Thaqafa 2014, mlio soma miaka ya nyuma shuleni hapa mpoo? You C tha changes?


Katikati ya uwanja wa shule ya sekondari Thaqafa kuna kiwanja cha Basketball na Netball, ambavyo vina sapotiwa na maadhari nzuri na mazingira safi yaliyopo shuleni hapo.

...................Uhuru juu kwa juu....................


Ni moja kati ya Hotel mpya zenye hadhi jijini hapa, hoteli zilizonuia kuleta mapinduzi katika utoaji huduma za viwango vya hali ya juu, kuwakarimu wageni waingiao na kutoka.Picha zote Na:-Gsengo Blog.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad