Jarida la
masuala ya afya la wanaume la nchini Uingereza kwenye toleo lake jipya
limemtaja mwanaume aliyefiti zaidi duniani kutokana na vigezo vyao.
|
Mwanasoka
bora wa dunia na mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo ndio
ametajwa na jarida hilo kuwa mwanaume aliyefiti zaidi kimwili na hizi ni baadhi
ya sababu kwanini wanaamini CR7 ni mwanaume aliyefiti zaidi….'
- -Ronaldo anakimbia kwa umbali wa zaidi ya maili 6 kwa mchezo mmoja
- -Mwili wake una kiasi kidogo cha virutubisho vya mafuta vya fat
- -Kwenye mechi moja – hukimbia kwa kasi ya maili 21 kwa saa 1.
- -Anaweza kupiga shuti ambalo uenda kwa kasi ya 80 mph
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
No comments:
Post a Comment