UTALII WA NDANI:-Maonesho ya ufugaji nyuki mkoa wa Kigoma yamezinduliwa leo Agosti 19,2014 wilayani Kibondo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, August 19, 2014

UTALII WA NDANI:-Maonesho ya ufugaji nyuki mkoa wa Kigoma yamezinduliwa leo Agosti 19,2014 wilayani Kibondo.

Mkuu wa wilaya ya Kibondo Bw.Venance Mwamoto akikagua mabanda likiwemo la SIDO na mawakala wa ufugaji nyuki.

 Maonesho hayo ya ufugaji nyuki kimkoa, wilaya ya Kibondo yamezinduliwa leo Agosti 19,2014  na mwakilishi wa mkuu wa mkoa wa Kigoma na yatafika kilele chake Jumamosi Agosti 23,2014 ambapo Waziri mwenye dhamana ya Maliasili na Utali nchini Tanzania atafunga.



UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad