USIKU WA MATUMAINI 2014:- Picha Wabunge wa Yanga SC wawaliza wa Simba SC 3-2 huku Ally Kiba akiipa Ushindi Bongo Fleva dhidi ya Bongo Muvi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, August 08, 2014

USIKU WA MATUMAINI 2014:- Picha Wabunge wa Yanga SC wawaliza wa Simba SC 3-2 huku Ally Kiba akiipa Ushindi Bongo Fleva dhidi ya Bongo Muvi.


Pichani ni Mchezo wa Wabunge mashabiki wa Simba SC na Yanga SC imemalizika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini leo Agost 08,2014. Mpaka dakika 90 zinamalizika, Yanga SC wameshinda kwa bao 3-2. 


Wafungaji Simba: Maji Marefu (11) na Yusuf Gogo (3). Yanga: Idrissa Kitwana (7), Ahmed Ngwali (11), Mark Tanda (2)


..................Yanga SC wakishangilia bao lao........................

Nyomi ndani ya Uwanja wa Taifa ikifuatilia mechi hiyo kwenye Tamasha la Usiku wa Matumanini Leo Agost 08,2014.


Kikosi cha timu ya Bongo Fleva kimeibuka kidedea katika mtanange wao dhidi ya Bongo Movies kwenye Tamasha la Usiku wa Matumanini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mfungaji wa bao pekee la Bongo Fleva ni mwanamuziki Ali Kiba.


Mchezaji wa Bongo Fleva, Ali Kiba akimtoka msanii wa Bongo Movies, Issa Mussa 'Cloud 112'.



............Bongo Fleva wakisalimiana na Bongo Movies kabla ya mechi..................

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.

Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad