'Jike Jeuri' akiwatoa jasho mabaunsa wawili
walioshindwa kupeleka kidole chake chini.
|
.....'Jike Jeuri' akipiga 'push - up' ndani ya
Uwanja wa Taifa.......
|
Mwanamama Power Black Nyati 'Jike Jeuri'
akifanya vitu vyake ndani ya Tamasha la Usiku wa Matumaini Agost 08,2014.
|
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
No comments:
Post a Comment