AJALI YA MOTO:- Tazama Picha 4 za kuungua moto na kuteketea kwa basi la 5 Aliance August 09,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, August 10, 2014

AJALI YA MOTO:- Tazama Picha 4 za kuungua moto na kuteketea kwa basi la 5 Aliance August 09,2014.


Hili ni basi la kampuni ya 5 Aliance ambalo linafanya safari zake kati ya Mtwara na Dar es salaam limeungua asubuhi ya August 09,2014, likitokea mkoani Mtwara kuelekea Jijini Dar es salaam.

Taarifa ya awali inasema kuwa hakuna abiria aliyepata madhara yoyote juu ya kuungua kwa basi hili ambalo limeteketea kijiji cha Mihambwe mkoa wa Lindi.



UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad