UGONJWA WA EBOLA AFRICA:-Haya ndiyo mavazi wanayovaa wahudumu wa ndege kujikinga Nao. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, August 10, 2014

UGONJWA WA EBOLA AFRICA:-Haya ndiyo mavazi wanayovaa wahudumu wa ndege kujikinga Nao.

Ugonjwa wa Ebola umelipuka sana huko Africa magharibi na umeua watu wengi sana. Hivi sasa mambo mengi yanafanywa ili kukinga watu dhidi ya maambuzi mampya.

 Njia moja wapo ni kutenga na kulifunga eneo lolote ambalo lina mgonjwa wa Ebola. Lakini hivi ndivyo wafanyakazi wa ndege za Africa magharibi wanavyovaa ili kujikinga.


UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad