PICHA YETU YA SIKU:-.........Hii ni Aibu ….. AU….??? - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, August 20, 2014

PICHA YETU YA SIKU:-.........Hii ni Aibu ….. AU….???

Wanafunzi  Watano  kati ya 10 wa kiume waliokuwa wanaimba wakati  wa kukabidhiwa Vyoo na Matenki ya Maji na Bank ya Posta ,Ni wa shule ya msingi Kipaba kama CAMERA YETU ilivyowanasa baadhi yao wananekana kaptula zao kuwa na vilaka na kuchakaa  vya kutosha kwa Hali  hii najiuliza tatizo ni kukosa Madawati au Umasikini wa familia zao..??.

 …………………….Tusikwepe Majukumu………………….
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad