MAZINGIRA YETU:-Viongozi wilayani Muleba....Uchafu huu sokoni hamuuoni.....??? - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, August 01, 2014

MAZINGIRA YETU:-Viongozi wilayani Muleba....Uchafu huu sokoni hamuuoni.....???




Ni mrundikano wa uchafu katika kizimba cha taka kilichopo Soko la Muleba mjini wilayani Muleba mkoani Kagera…kwa hali hii afya zetu…harufu kali ya uozo wa taka ….vipi tutanusurika??



Huu ni mti ambao umepamba kama unavyoonekana na Mtu anayedhaniwa kuwa ni mgonjwa wa akili(Mwehu) jirani na  Soko la Muleba mjini wilayani Muleba mkoani Kagera.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.

Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad