MAZINGIRA YETU:-Tazama Picha za Hali ya Uchomaji Moto wilayani Ngara mkoani Kagera unavyoyaharibu Mazingira. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, August 03, 2014

MAZINGIRA YETU:-Tazama Picha za Hali ya Uchomaji Moto wilayani Ngara mkoani Kagera unavyoyaharibu Mazingira.

Baadhi ya  Eneo lilikutwa linawaka moto baada ya Watu wasiojulikana kuchoma moto na hivyo kuharibiwa na wananchi wa eneo la Kasharazi wilayani Ngara mkoa wa Kagera kama yanavyonekana .

 Maeneo mengi wilayani humo yamekuwa yakichomwa moto na watu wasiojulikana nyakati za jioni na usiku ,hivyo ni wazi huenda kukatokea uhalibifu mkubwa wa Mazingira  iwapo hatu za makusudi hazitachukuliwa.


Huu ni moja ya mlima huko Kasharazi ulikutwa ukiwaka moto baada ya Watu wasiojulikana kuchoma moto .

Picha juu na chini ni Baadhi ya eneo yaliyoharibiwa na Wananchi wa Ngara mkoa wa Kagera kama yanavyonekana jirani na viwanja vya Kokoto ,eneo hili lilichomwa moto na watu wasiojulikana mpaka sasa.

Hali ya Mazingira wilayani Ngara mkoani Kagera inakumbwa na changamoto kubwa ya uhifadhi ambazo ni:-

·       Uchomaji moto maeneo

·       Upasuaji wa mbao/Kuni

·       Uchungiji wa mifugo

·      Na  Ushiriki mdogo wa wananchi katika kulinda Mazingira hayo.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad