LIGI KUU UINGEREZA 2014/205:-Manchester City yaiadhibu Liverpool mabao 3-1 katika mechi ya Ligi kuu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, August 26, 2014

LIGI KUU UINGEREZA 2014/205:-Manchester City yaiadhibu Liverpool mabao 3-1 katika mechi ya Ligi kuu.

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza 2013/2014, Manchester City wamewachapa mabao 3-1 wapinzani wao katika mbio za taji hilo msimu uliopita, Liverpool usiku wa Agosti 25,2014 wakiwa nyumbani Uwanja wa Etihad mjini Manchester.

Stevan Jovetic alifunga mabao mawili moja kila kipindi la kwanza dakika ya 41 na pili dakika ya 55 kabla ya Edin Dzeko kuingia na kufunga la tatu katika mpira wa kwanza aliogusa dakika ya 68.

Dzeko alifunga bao hilo kabla hata Sergio Aguero aliuempisha hajafika kwenye benchi na Liverpool wakapata bao la kufutia machozi dakika ya 83 kupitia kwa Lambert.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
 


Katika mchezo huo Mshambuliaji mpya wa Liverpool, Mario Balotelli alikuwa jukwaani akiishuhudia timu yake ya zamani ikishinda huku akiwa na mchezaji mwingine mpya wa klabu hiyo, Adam Lallana jukwaani Uwanja wa Etihad ,Mwingine chini mbele ni gwiji wa klabu, Kenny Dalglish.
Stevan Jovetic akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza usiku wa Agosti 25,2014.


As It Stands Table EPL 2014/2015.


Position Team Played Goal Difference Points
No Movement 1 Tottenham 2 5 6
No Movement 2 Chelsea 2 4 6
No Movement 3 Man City 2 4 6
No Movement 4 Swansea 2 2 6
No Movement 5 Arsenal 2 1 4
No Movement 6 Hull 2 1 4
No Movement 7 Aston Villa 2 1 4
No Movement 8 West Ham 2 1 3
No Movement 9 Liverpool 2 -1 3
No Movement 10 Everton 2 0 2
No Movement 11 Sunderland 2 0 2
No Movement 12 West Brom 2 0 2
No Movement 13 Man Utd 2 -1 1
No Movement 14 Southampton 2 -1 1
No Movement 15 Stoke 2 -1 1
No Movement 16 Leicester 2 -2 1
No Movement 17 Newcastle 2 -2 1
No Movement 18 Crystal Palace 2 -3 0
No Movement 19 Burnley 2 -3 0
No Movement 20 QPR 2 -5 0

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad