LA LIGA 2014/2015:- Hiki kikosi cha Real Madrid chenye thamani ya Paund 400 mil chaanza na ushindi wa 2-0 dhidi ya Cordoba. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, August 26, 2014

LA LIGA 2014/2015:- Hiki kikosi cha Real Madrid chenye thamani ya Paund 400 mil chaanza na ushindi wa 2-0 dhidi ya Cordoba.

Mabingwa wa Ulaya 2013/2014, Real Madrid, wameanza Msimu mpya wa La Liga kwa ushindi wa Bao 2-0 Nyumbani kwao Santiago Bernabeu walipoichapa Cordoba jana Agosti 25,2014.

 Bao la kwanza la Real lilipatikana Dakika ya 30 baada ya Kona ya Toni Kroos kuunganishwa kwa Kichwa na Karim Benzema.

Bao hilo lilidumu hadi mapumziko.

Real walifunga Bao lao la pili kupitia Cristiano Ronaldoambae alipenyezewa Mpira na kuachia Shuti la mbali na kutinga wavuni katika Dakika ya 90.

LA LIGA 2014/2015 - RATIBA/MATOKEO:
Mechi za Ufunguzi
**Saa za Bongo

Jumamosi Agosti 23,2014.

Malaga CF 1 - 0 Athletic de Bilbao

Sevilla FC 1 - 1 Valencia 

Granada CF 2 - 1 Deportivo La Coruna 

UD Almeria 1 - 1 RCD Espanyol 

Jumapili Agosti 24,2014.

SD Eibar 1 - 0 Real Sociedad 

FC Barcelona 3 - 0 Elche CF 

Celta de Vigo 3 - 1 Getafe CF

Levante 0 - 2 Villarreal CF 

Jumatatu Agosti 25,2014.

Real Madrid CF 2 - 0 Cordoba 

 Rayo Vallecano 0 - 0 Atletico de Madrid

Ijumaa Agosti 29,2014.

21:00 Getafe CF v UD Almeria

23:00 Valencia v Malaga CF
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

League Table La Liga 2014/2015.


Position Team Played Goal Difference Points
No movement 1 Barcelona 1 3 3
No movement 2 Celta de Vigo 1 2 3
No movement 3 Real Madrid 1 2 3
No movement 4 Villarreal 1 2 3
No movement 5 Granada CF 1 1 3
No movement 6 Eibar 1 1 3
No movement 7 Málaga 1 1 3
No movement 8 Almería 1 0 1
No movement 9 Sevilla 1 0 1
No movement 10 Espanyol 1 0 1
No movement 11 Valencia CF 1 0 1
No movement 12 Atlético Madrid 1 0 1
No movement 13 Rayo Vallecano 1 0 1
No movement 14 Deportivo de La Coruña 1 -1 0
No movement 15 Real Sociedad 1 -1 0
No movement 16 Athletic Bilbao 1 -1 0
No movement 17 Getafe 1 -2 0
No movement 18 Levante 1 -2 0
No movement 19 Córdoba 1 -2 0
No movement 20 Elche 1 -3 0

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad