STAA wa
Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kushinda award ya wimbo bora wa
East Africa na wimbo wa Number One. Award hiyo imetolewa nchini Burundi kwenye
TTTMAwards.
|
Diamond Platnumz.
|
Katika Hatua
nyingine-ni kuhusu ujumbe mrefu aliondika Diamond kupitia ukurasa wake wa
instagram. Ujumbe huo unaonekana unaenda kwa msanii fulani japokuwa hakuweka
wazi ni msanii gani.
Diamond aliweka post hii na baada ya muda mfupi aliifuta
lakini maneno yote yalikuwa yanasomeka hivi.
“Nafkiri
ningewaona kweli Mnaakili na Mapenzi ya dhati kwa Msanii wenu… kama mngemshauri
apunguze Mashoga wapenda anasa na apunguze Stareh zisizo na Faida, wenda
ingemsaidia Pesa kuzitumia kwenye kufanya kazi na kuleta maendeleo badala ya
kuwapa viwanda vya pombe…
Mimi kama
bwana, wajibu wangu ni kuhakikisha Mpenzi wangu anakula vizuri, anavaa vizuri,
analala vizuri, na kumuwezesha mtaji wa kufanyia kazi…. Waswahili wanasema
Mchungaji bora anatakiwa kuhakikisha anampeleka Ng’ombe wake Kwenye Maji
safi….ila yeye ng’ombe mwenyewe ndio anatakiwa aamue kunywa maji!!!!!
Au mnataka
nikishampa mtaji niache kufanya na show tena na kuigiza nimuigizie mie ????
Nisiende Studio nikae dukani nimuuzie mie????.. ni juhudi zako kwanza!… leo hii
mimi Hata ningepewa Mamilioni ya mamilioni kama nisingekuwa na moyo wa mie
mwenyewe kwanza kutaka kujituma na kupenda kufanya kazi yangu nisingefikia hapa
nilipo!….Mxieeeeeeeew!�� Kama nimekuchefua Lamba ndimu Usitapike”.
USOME
UJUMBE HUO HAPA CHINI:
Wema Sepetu.
|
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
No comments:
Post a Comment