Baadhi ya
wananchi wakiwa kwenye mkutano wa hadhara.
|
Mjumbe wa
halmashauri kuu taifa ACT-Tanzania Athuman Balozi kutoka mkoa wa Tabora
akizungumza na wakazi wa manispaa ya Shinyanga kwenye mkutano wa hadhara.
|
Viongozi wa
ACT-Tanzania wakiwa meza kuu mara baada ya mwenyekiti wa chama hicho taifa
kuwasili uwanjani.
|
Msafara wa
mwenyekiti wa ACT-Tanzania ukiwasili eneo la mkutano ukiwa umetanguliwa na piki
piki.
|
Gari la
chama cha ACT -Tanzania.
|
Mratibu wa
ACT-Tanzania mkoa wa Shinyanga Benedict Kishija akizungumza na wakazi wa
manispaa ya Shinyanga.
|
Viongozi
mbalimbali wanaendelea kutoa salamu za ACT-Tanzania kwa wakazi wa mkoa wa
Shinyanga,jukwaani ni Idd Mapande kutoka wilaya ya Kahama.
|
Mwenyekiti
wa ACT- Tanzania mkoa wa Shinyanga Justina Kimisha akieleza sera za chama
hicho.(Picha zote na Stella blog)
|
Mkutano
unaendelea na Wananchi wanasikiliza sera za ACT Tanzania.
|
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
Like ukurasa wetu wa facebook ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
No comments:
Post a Comment