EUROPA LIGI 2014/2015:- Tottenham Hotspur kuvaana na Besiktas . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, August 30, 2014

EUROPA LIGI 2014/2015:- Tottenham Hotspur kuvaana na Besiktas .

Utakumbuka Tottenham Hotspur Usiku wa Agosti 28,2014, ilifuzu hatua ya Makundi ya EUROPA LIGI 2014/2015  kwa Bao 3-0 za Kane, Paulinho na Townsend na kusonga hatua ya Makundi kwa Jumla ya Bao 5-1 kwa Mechi mbili.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad