|
UEFA Leo Agosti
28,2014,imempa Tuzo yao ya Mchezaji Bora wa Mwaka Cristiano Ronaldo baada ya
kuwabwaga kwenye Kura Kipa wa Mabingwa wa Dunia Germany, Manuel Neuer na
Mchezaji mwenzake wa Klabu ya Bayern Munich anaechezea Holland, Arjen Robben.
Ronaldo,
Miaka 29, alifunga Bao 17 katika Mechi 11 za Ulaya wakati Real Madrid inaelekea
kutwaa Taji lao la 10 la Ulaya walipobeba Kombe la UEFA CHAMPIONZ LIGI na pia
kuisaidia Klabu yake kutwaa Copa del Rey Msimu uliopita huko Spain.
Baada ya kukabidhiwa Tuzo yake, Ronaldo alisema: “Nimefurahi kweli kweli.
Lazima niwashukuru Wachezaji wenzangu, Familia yangu, Marafiki zangu. Sina
Kombe hili kwenye Makumbusho yangu, nitaliweka!”
Awali Majina
ya Wachezaji 35 yalipigiwa Kura na kubakia 10 na kutangazwa hapo Julai 18 na
kisha kubakishwa Matatu ambayo hii Leo ndio Mshindi kapatikana.
WASHINDI
WALIOPITA.
2010–2011
Lionel Messi [Barcelona]
2011–2012
Andrés Iniesta [Barcelona]
2012–2013
Franck Ribéry [Bayern Munich]
Wapigaji
Kura ya Tuzo hii ni Jopo la Wanahabari maalum toka Nchi zote Wanachama wa UEFA.
Tuzo hii
ilianzisha na UEFA Mwaka 2011 ili kuziba pengo la Ballon d'Or ambayo
iliunganishwa na Tuzo ya FIFA ya Mchezaji Bora Duniani na pia kuibadili ile
Tuzo ya zamani ya UEFA ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwa Klabu.
LISTI YA
WAGOMBEA 10.
-Diego Costa
-Angel Di
Maria
-James
Rodriguez
-Luis Suarez
-Philipp
Lahm
-Thomas
Muller
-Manuel
Neuer
-Arjen
Robben
-Cristiano
Ronaldo
-Lionel
Messi.
|
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
Like ukurasa wetu wa facebook ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
|
Droo ya
Makundi ya UEFA CHAMPIONZ LIGI msimu wa mwaka 2014/2015 imefanyika huko Monaco leo Agosti 28,2014, na Makundi 8 ya
Timu 4 kila moja yamepangwa ambapo kuanzia Septemba 16 Mechi zake za Mtindo wa
Ligi wa Nyumbani na Ugenini zitachezwa.
Timu mbili
toka kila Kundi ndizo zitasonga Raundi ya Mtoano ya Timu 16 wakati Timu inayomaliza
Nafasi ya 3 itatupwa EUROPA LIGI.
Kimtazamo tu
Kundi gumu ni Kundi E lenye Timu za Bayern Munich, Man City, CSKA Moscow na AS
Roma.
Liverpool,
ambao hii ni mara yao kwanza kushiriki tangu Mwaka 2009/10, wapo Kundi B pamoja
na Mabingwa Watetezi Real Madrid, FC Basel na Ludogorets.
DROO YA
MAKUNDI UEFA 2014/2015.
KUNDI A.
-Atletico Madrid
-Juventus
-Olympiacos
-Malmo
KUNDI B.
-Real Madrid
-Basel
-Liverpool
-Ludogorets
KUNDI C.
-Benfica
-Zenit
-Bayer
Leverkusen
-AS Monaco
KUNDI D.
-Arsenal
-Borussia
Dortmund
-Galatasaray
-Anderlecht
KUNDI E.
-Bayern Munich
-Manchester
City
-CSKA Moscow
-AS Roma
KUNDI F.
-FC Barcelona
-PSG
-Ajax
-Apoel
KUNDI G.
-Chelsea
-Schalke
-Sporting
Lisbon
-Maribor
KUNDI H.
-FC Porto
-Shakhtar
Donetsk
-Athletic
Bilbao
-Bate
Borisov
|
UEFA CHAMPIONZ LIGI 2014/2015-MPANGILIO WA MECHI/HATUA YA MAKUNDI.
MECHI-DEI
|
Jumanne-2014
|
Jumatano-2014
|
1
|
16 Septemba
|
17 Septemba
|
2
|
30 Septemba
|
01 Oktoba
|
3
|
21 Oktoba
|
22 Oktoba
|
4
|
4 Novemba
|
5 Novemba
|
5
|
25 Novemba
|
26 Novemba
|
6
|
9 Desemba
|
10 Desemba
|
HATUA YA MTOANO.
|
MECHI ZA KWANZA
|
MARUDIANO
|
Raundi ya Mtoano Timu 16
|
(17–18) (24–25) Februari
|
(10–11) (17–18) Machi
|
Robo Fainali
|
(14–15) Aprili
|
(21–22) Aprili
|
Nusu Fainali
|
(5–6) Mei
|
(12–13) Mei
|
Fainali
|
06 Juni 2015
|
|
No comments:
Post a Comment