CAPITAL ONE CUP 2014/2015:- Hii ndio Taswira iliyojiri Manchester United ikitolewa Nje ya Kombe la Ligi kwa Kubondwa 4-0 Mk Dons. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, August 27, 2014

CAPITAL ONE CUP 2014/2015:- Hii ndio Taswira iliyojiri Manchester United ikitolewa Nje ya Kombe la Ligi kwa Kubondwa 4-0 Mk Dons.


Kocha Msaidizi Ryan Giggs akiwa ameshika kichwa akilia kwa uchungu mwishoni mwa mchezo huo, huku kocha Louis van Gaal akiwa haamini macho yake kile kilichotokea jana Agosti 26,2014 usiku.


Kocha Louis van Gaal ameendelea kuogelea katika bwawa la maji moto Manchester United, baada ya usiku huu kfungwa na Mk Dons ya Daraja la Kwanza mabao 4-0 katika michuano ya Kombe la Ligi, maarufu Capital One hapo Jana Agosti 26,2014.

Mabao yaliyomtia machungu Van Gaal , yamefungwa na Will Grigg dakika ya 25 na 63 na Benik Afobe anayecheza kwa mkopo kutoka Arsenal dakika ya 70 na 83.

Kocha Msaidizi Ryan Giggs alionekana kufuta machozi baada ya bao la tatu, akiwa kwenye benchi na bosi wake, van Gaal.
 
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
 






Wachezaji wa United wakiwa hoi baada ya kipigo kutoka kwa Mk Dons ya Daraja la Kwanza mabao 4-0 katika michuano ya Kombe la Ligi, maarufu Capital One na kutolewa.


CAPITAL ONE CUP 2014/2015-RATIBA/MATOKEO.

RAUNDI YA PILI.

Jumanne Agosti 26,2014.

Bournemouth 3 Northampton 0

Brentford 0 Fulham 1

Burnley 0 Sheffield Wednesday 1
 
Derby 1 Charlton 0

Gillingham 0 Newcastle 1

Huddersfield 0 Nottingham Forest 2

Leicester 0 Shrewsbury 1

Middlesbrough 3 Preston 1

Millwall 0 Southampton 2

Norwich 3 Crawley 1

Port Vale 2 Cardiff 3

Scunthorpe 0 Reading 1

Swansea 1 Rotherham 0

Walsall 0 Crystal Palace 3

Watford 1 Doncaster 2

MK Dons 4 Man United 0

Jumatano Agosti 27,2014.


**Mechi zote kuanza Saa 3 Dakika 45 Usiku

Aston Villa v Leyton Orient
 
Birmingham v Sunderland

Bradford v Leeds

Burton v QPR

Stoke v Portsmouth

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad